Debula na Bwana Rob wanazungumza na David, mwanafunzi wa muziki mwaka wa pili, juu ya uzoefu wake wa muziki kule Afrika Mashariki, na Jason, aliyeunga mikono kuanzisha chama cha Swahili hapa SOAS juu ya mambo ya Swahili hapa London. Pamoja na maoni kuhusu mgomo wa terehe 30 Novemba, na nyimbo maarufu kutoka Afrika Mashariki, usikose kipindi hiki!
Chiku K Ft. Lameck Ditto - Muda Umefika
Fid Q - Shimo Limetema
Solo Thang - Mambo ya Pwani
RIC - Shikamana