You are here
Sema Sasa Kipindi Cha 9 Makala Maalum ya Uchaguzi
Thu, 2012-03-01 21:32
Wakati wa uchaguzi umewadia! Sikiliza wagombea wakieleza kwa ufupi kampeni zao na 'uchambuzi wa kina' kutoka Bwana Rob na Dada DK.
Joh Makini - Muda
Walanguzi - Mziki wa Kulevya
X Plastaz - Aha!
Bonta - Nauza Kura Yangu

