You are here

Sema Sasa Episode 5

Mwaka mpya mpo? Tumerejea baada ya shamrashamra za Krismasi na kipindi chetu motomoto! Bila shaka muziki wa hip hop, na soga la kuchangamsha bila kusahau habari. Juma hili tunazungumzia shughuli zetu wakati wa Krismasi na matukio duniani! Wasanii wiki hii ni:
X Plastaz - Msimu kwa Msimu
Ndugus - Bila Chuki
Wakazi - Hali Halisi
Fid Q - Ielewe Mitaa

User login

Languages

SOAS Logo