You are here

Sema Sasa Episode 2

Wiki hii tumerudi na Debula na Bwana Rob wanaokuleteni nyimbo mpya na za kale, pamoja na habari na mambo mpya. Tunajadili maandamano ya wanafunzi na wageni maalum kutoka SOAS na Birkbeck, pia mjue tulifanya nini kwa usiku wa Bonfaya.

Tracks:

ROMA – Tanzania
Sugu – Mikononi mwa Polisi
Ndugus – Niseme
X Plastaz ft Fid Q and Bamba Nazar – Afrika

User login

Languages

SOAS Logo